mwanzo
Kwa kila anayezungumza Kiswahili

Jenga programu na tovuti kwa kutumia akili bandia (AI).

Tumia Kiswahili cha kawaida, bila uzoefu wa kusimba au uhandisi wa kompyuta.

Huna uhakika wa kuanza? Jaribu mfano:
JINSI INAVYOFANYA KAZI

Hatua tatu tu, tovuti yako iko tayari.

HATUA 01

Eleza

Andika kwa Kiswahili unachotaka kujenga: biashara yako, huduma zako, na mawasiliano yako.

HATUA 02

AI Inajenga

AI inasoma maelezo yako na kukujengea tovuti kamili baada ya muda mfupi, bila kuandika code hata mstari mmoja.

HATUA 03

Shiriki

Pata link ya tovuti yako papo hapo. Tuma kwa wateja wako kupitia WhatsApp au popote unapotaka.

KWA NANI

Sema unachotaka. Tazama kikitokea.

Kama unauza, unahudumia, au unaongoza kikundi, Mwanzo unakufaa.

Unaandika:
Nauza mitumba. Tengeneza tovuti yangu.

Pia: huduma za ukarabati, vikundi vya kuchangia, wanafunzi na miradi.

mitumba-kariakoo.mwanzo.co.tz
Mitumba KariakooBidhaaWasiliana
Suruali na shati safi, bei nafuu
Kariakoo, Dar es Salaam. Agiza kupitia WhatsApp.
Agiza WhatsApp
Suruali
Shati
Koti
Link iko tayari. Tuma kwa WhatsApp.
UMILIKI WAKO

Tovuti yako, mikononi mwako.

Ikishakuwa tayari, ni mali yako.

Link ya kudumu ya kushiriki
Isimamishe wakati wowote kutoka dashibodi yako
Endelea kuihariri kwa kuandika tu unachotaka kubadilisha
Tovuti yangu
tovuti-yako.mwanzo.co.tz
Live
Weka bei za huduma zote kwenye ukurasa wa kwanza.
Nimeongeza bei za huduma kwenye ukurasa wa kwanza.
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Unayo maswali? Tuko nayo majibu.

Hapana. Andika tu unachotaka kwa Kiswahili chako cha kawaida, AI inajenga tovuti kamili yenyewe.

Tayari kuanza?

Jenga programu yako ya kwanza leo.

Bure kuanza, bila Kiingereza, bila code.